Katika kusherekea Wiki ya Huduma kwa Mateja, Taifa gas tulikutana na CRDB kama mdau wetu mkubwa kuzungumza maswala mbalimbali katika kuimarisha uhusiano wetu.

Kutoka Taifa Gas tumeongozwa na Cooperate Affare Manager Angela Bi.Bhoke na Crdb wakiongozwa na Mkurugenzi mkuu Bw.Margid Nsekela.