International Women’s Day (IWD) will be observed on March 8, 2025, under the theme “Accelerate Action”
Katika msimu huu kuelekea Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8, wanawake wa Taifa Gas wamekuwa wakifanya shughuli za CSR. Hapa tuna Emmy Sallu Taifa Gas, Nanzighe Nyabero Taifa Gas, mgeni wa heshima Bi. Hidaya Njaidi, Mwigizaja na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawaake Wasanii Tanzania, Faidha Haydar Taifa Gas na Jesca Millanzi kutoka Jukwa la Mwanamke Mkoa, wakimkabidhi mtungi wa gesi wa kilo 6 Bi. Neema, mwanamke ambaye alisumbuliwa na macho kutokana na moshi wa kupikia kama Mama Lishe.