Tunafurahi kuwa sehemu ya washiriki kwenye maonesho ya wakulima Nane Nane yaliyofanyika kitaifa jijini Dodoma.

Pichani ni matukio mbalimbali yaliyojiri wakati wa maonesho.